Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana Jijini Dar es Salaam kwa siku mbili na kukamilika leo Jumatano tarehe 29 Aprili, 2026.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana Jijini Dar es Salaam kwa siku mbili na kukamilika leo Jumatano tarehe 29 Aprili, 2026.


















No comments:
Post a Comment