Siku hiyo nilikuwa nimejiandaa sana. Nilikuwa nimepata mpenzi mpya ambaye nilitaka kumvutia kwa kila namna. Tulipanga kukutana kwenye lodge moja tulivu, nikiwa na matarajio makubwa ya kuonyesha uwezo wangu na kuanzisha uhusiano mzuri.
Tulipofika chumbani, kila kitu kilionekana kuwa sawa. Tulicheka, tukazungumza, na hali ilikuwa ya kuvutia. Lakini ghafla, nilijikuta nimepoteza kabisa uwezo wangu. Nilijaribu kujikaza, lakini haikuwezekana. Mwili wangu haukushirikiana nami hata kidogo.








No comments:
Post a Comment