Usiku ule bado unanisumbua hadi leo nikikumbuka. Nilikuwa nimeanza kuwa na mashaka kwa muda kuhusu tabia za mpenzi wangu. Alianza kuchelewa kurudi nyumbani, simu yake ikawa ya siri, na kila nilipouliza, alinijibu kwa ukali.
Nilichukua uamuzi wa kumfuatilia kimya kimya. Usiku mmoja, nilimwona akiingia kwenye gari la mtu mwingine. Bila kupoteza muda, niliamua kuwafuatilia kwa umbali. Moyo wangu ulikuwa unadunda kwa kasi, nikihofia kile ningekiona.








No comments:
Post a Comment