Nilikuwa kijana wa kawaida tu ambaye alikuwa na ndoto kubwa lakini nilikuwa na tatizo moja lililoniumiza kimoyoni. Nilikuwa sina hamu ya mapenzi kabisa, jambo ambalo lilianza kuathiri mahusiano yangu vibaya. Mara nyingi nilijikuta nikiepuka ukaribu, na wapenzi wangu waliondoka mmoja baada ya mwingine.
Nilianza kupoteza kujiamini. Marafiki zangu walipokuwa wakizungumza kuhusu maisha yao ya mahusiano, nilikaa kimya kwa sababu sikuwa na kitu cha kujivunia. Nilihisi kama kuna kitu hakiko sawa ndani yangu.








No comments:
Post a Comment