KUKU WOTE WAKAANZA KUFA NYUMBA MOJA TU, UCHUNGUZI ULIPOFANYIKA UKWELI ULISHTUA WENGI - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Thursday, April 16, 2026

KUKU WOTE WAKAANZA KUFA NYUMBA MOJA TU, UCHUNGUZI ULIPOFANYIKA UKWELI ULISHTUA WENGI

Naitwa Amina kutoka Kisii. Sikuamini kabisa kilichotokea kwenye nyumba yangu hadi nilipoona hali inazidi kuwa mbaya kila siku. Nilikuwa na mradi mdogo wa kufuga kuku nyumbani. Mwanzoni kila kitu kilikuwa kinaenda vizuri, kuku walikuwa na afya nzuri na nilikuwa na matumaini makubwa ya kukuza biashara hiyo.

Lakini ghafla mambo yakabadilika. Kuku walianza kudhoofika mmoja baada ya mwingine, na ndani ya muda mfupi wakaanza kufa bila sababu ya wazi.

Nilijaribu kila njia niliyofikiria kubadilisha chakula, kusafisha banda, na hata kuwaita watu wenye uzoefu wa ufugaji, lakini hali iliendelea kuwa mbaya zaidi.

 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad