Mimi naitwa Mariam, mkazi wa mkoa wa Kagera, Bukoba. Kwa miaka kumi na tano, maisha yangu yamekuwa ni mfululizo wa maumivu ya mahusiano. Nilikuwa na umri wa miaka 37, nikiwa mwanamke mrembo na mwenye maadili, lakini kwa namna ya ajabu, hakuna mwanaume aliyewahi kunihitaji kwa ajili ya ndoa.
Kila mwanaume aliyekuja kwangu alikuwa ananidanganya na kunitumia, kisha ananiacha nikiwa na majeraha ya moyo. Ikafikia hatua nikaanza kujiita mwanamke mwenye nuksi, na jamii ya huku Bukoba ilikuwa ikiniangalia kwa jicho la mashaka.








No comments:
Post a Comment