Kwa miaka kadhaa nilifanya kazi kwa bidii, nikijituma kila siku na kuhakikisha majukumu yangu yanafanyika kwa ufanisi. Licha ya juhudi zangu zote, nilihisi kama sionekani. Wenzangu walipandishwa vyeo, wengine wakipewa nafasi nzuri, lakini mimi nilibaki pale pale. Ilifika hatua nikaanza kujiuliza kama kuna kitu nilikuwa nakosa au kama bahati haikuwa upande wangu.
Nilijaribu kuboresha kazi yangu zaidi, nikajifunza mambo mapya, na hata kujitolea kufanya kazi za ziada. Lakini bado hakuna kilichobadilika. Wakubwa wangu walionekana kunipuuza kabisa. Hali hii ilianza kunikatisha tamaa na kunifanya nipoteze motisha ya kufanya kazi.








No comments:
Post a Comment