NILITUMIWA VOICE NOTE YA WRONG PERSON, IKA-EXPOSE PLAN YA KUNIANGAMIZA - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Thursday, April 9, 2026

NILITUMIWA VOICE NOTE YA WRONG PERSON, IKA-EXPOSE PLAN YA KUNIANGAMIZA

Siku hiyo nilikuwa nimetulia tu nyumbani nikifanya mambo yangu ya kawaida. Simu yangu ikapokea voice note kutoka kwa namba niliyo-save kama rafiki wa mbali. Sikushangaa sana, nikafungua kusikiliza bila kufikiria mara mbili.

Lakini nilichosikia kiliniacha frozen kabisa.

Ilikuwa sauti ya mtu niliyemfahamu vizuri, lakini hakuwa ananiongelesha mimi. Alikuwa akielezea kwa mtu mwingine jinsi walivyokuwa wanapanga kuniharibia maisha—biashara yangu, mahusiano yangu, kila kitu.

SOMA   ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad