NAIBU WAZIRI OFISI YA MAKAMU W ARAIS ARIPOTI OFISINI - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Thursday, April 9, 2026

NAIBU WAZIRI OFISI YA MAKAMU W ARAIS ARIPOTI OFISINI

Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Reuben Kwagilwa (kushoto), akipokelewa na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Muyungi, alipowasili Ofisi ya Makamu wa Rais zilizopo, Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma, Aprili 9, 2026 mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Aprili 8, 2026.
Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Reuben Kwagilwa, akipokea ua mara baada ya kuwasili Ofisi ya Makamu wa Rais zilizopo, Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma, Aprili 9, 2026.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Reuben Kwagilwa (Kushoto) akipokelewa na Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Mitawi mara baada ya kuwasili Ofisi hiyo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma, Aprili 9, 2026.
Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Reuben Kwagilwa (Kushoto) akipokelewa na Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais, Balozi Baraka Luvanda, mara baada ya kuwasili Ofisi hiyo, Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma, Aprili 9, 2026.
Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Reuben Kwagilwa (kushoto) akizungumza na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Muyungi (wa pili kutoka kushoto) mara baada ya kuwasili ofisini Aprili 8, 2026. Wengine katika picha ni Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais, Balozi Baraka Luvanda (kulia) na Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Mitawi.

PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad