NILIVYOFANIKIWA KUREJESHA ARDHI YA FAMILIA YETU BAADA YA MIAKA YA MAPAMBANO - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Wednesday, April 15, 2026

NILIVYOFANIKIWA KUREJESHA ARDHI YA FAMILIA YETU BAADA YA MIAKA YA MAPAMBANO

Mimi nilikuwa naishi na maumivu ya kuona ardhi ya familia yetu ikichukuliwa bila haki. Ilikuwa ni mali ya wazazi wetu, lakini kwa sababu ya migogoro na ukosefu wa nyaraka kamili, tulijikuta tukiipoteza.

Tulijaribu kupambana kwa njia mbalimbali kwa miaka mingi, lakini hakuna kilichobadilika. Kila hatua tuliyochukua ilionekana kugonga mwamba. Hali hii ilinichosha sana. Ilikuwa sio tu kupoteza mali, bali pia historia na heshima ya familia yetu.


Siku moja nilimweleza rafiki yangu wa karibu hali hiyo. 

ENDELEA   KUSOMA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad