Biashara yangu ilikuwa tegemeo langu kuu la kipato. Nilikuwa nimeijenga polepole kwa juhudi na uvumilivu. Lakini ghafla mambo yakaanza kubadilika.
Bidhaa zilianza kupotea bila maelezo, na kila nilipohesabu mauzo, kulikuwa na upungufu ambao sikuuelewa.
Mwanzoni nilidhani ni makosa ya kawaida, lakini hali ilipojirudia mara kwa mara, nikajua kuna tatizo kubwa.








No comments:
Post a Comment