NILIVYOPATA VISA YANGU BAADA YA KUKATALIWA MARA TATU BILA KUELEWA SABABU - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Monday, April 20, 2026

NILIVYOPATA VISA YANGU BAADA YA KUKATALIWA MARA TATU BILA KUELEWA SABABU

Ndoto yangu ilikuwa kusafiri na kufanya kazi nje ya nchi ili kubadilisha maisha yangu na ya familia yangu. Nilijitayarisha vizuri nikakusanya nyaraka zote, nikajaza fomu kwa umakini, na nikahudhuria mahojiano kwa kujiamini.


Lakini mara ya kwanza niliambiwa visa imekataliwa. Niliumia, lakini nikaamua kujaribu tena. Mara ya pili na ya tatu zilikuwa mbaya zaidi. Nilihakikisha kila kitu kiko sawa, hata nikatafuta ushauri kwa watu waliowahi kufanikiwa.


Lakini bado majibu yalikuwa yale yale imekataliwa. Nilichanganyikiwa sana kwa sababu sikuambiwa kosa langu ni nini. Nilianza kukata tamaa na kuona ndoto yangu ikififia polepole

ENDELEA   KUSOMA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad