Kwa muda mrefu nilikuwa na tatizo lisiloeleweka. Kila nilipolala, nilianza kuona ndoto mbaya zinazojirudia. Wakati mwingine nilikuwa naota nikianguka, wakati mwingine nikikimbizwa au kupotea sehemu nisizozijua. Hali hii ilianza kuniathiri hata mchana kwa sababu nilikuwa nikiamka nikiwa nimechoka na mwenye hofu.
Nilijaribu kubadilisha kila kitu nilipunguza mawazo, nikabadilisha muda wa kulala, na hata nikajaribu kujishughulisha zaidi mchana ili nizingatie usingizi usiku. Lakini bado ndoto hizo ziliendelea. Ilifika hatua nikaanza kuogopa kulala, na usingizi wangu ukawa mdogo sana.







No comments:
Post a Comment