NILIVYOTOKA KWENYE MADENI YA MIKOPO YA MKONONI NDANI YA MIEZI MITATU BILA KUKOPA TENA - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Sunday, April 19, 2026

NILIVYOTOKA KWENYE MADENI YA MIKOPO YA MKONONI NDANI YA MIEZI MITATU BILA KUKOPA TENA

Nilianza kukopa pesa za simu nikiwa na nia nzuri tu ya kujikimu kwa muda mfupi. Lakini siku zilivyoenda, mikopo iliongezeka. Nilikuwa nalipa mkopo mmoja kwa kuchukua mwingine.


Riba zilikuwa kubwa, na simu yangu ikawa chanzo cha stress badala ya msaada. Kila siku nilikuwa napokea ujumbe wa kudaiwa, simu zisizoisha, na vitisho vya kudhalilishwa.


Hali ilifika pabaya kiasi kwamba hata mshahara wangu haukutosha. Nilikuwa nalipa madeni lakini hayapungui. Nilianza kukosa usingizi, mawazo yakawa mengi, na nilihisi nimefungwa kabisa kifedha. Nilijaribu kupanga bajeti, lakini haikusaidia kwa sababu deni lilikuwa tayari limezidi uwezo wangu.

ENDELEA  KUSOMA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad