NILIVYOREJESHA UHUSIANO NA NDUGU ZANGU BAADA YA MIGOGORO YA URITHI KUUTENGANISHA FAMILIA YETU - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Sunday, April 19, 2026

NILIVYOREJESHA UHUSIANO NA NDUGU ZANGU BAADA YA MIGOGORO YA URITHI KUUTENGANISHA FAMILIA YETU

Baada ya kifo cha baba yetu, familia yetu iligawanyika vibaya sana. Kilichokuwa kinaanza kama mazungumzo ya kugawana mali kiligeuka kuwa ugomvi mkubwa uliovunja kabisa uhusiano wetu.


Ndugu waliokuwa karibu wakaanza kuhasimiana, mawasiliano yakakatika, na kila mmoja akawa anaishi kivyake kana kwamba hatuwahi kuwa familia.


Nilijaribu mara nyingi kuwakutanisha ili tuzungumze na kupata suluhisho, lakini kila jaribio liliishia kwenye mabishano na lawama. Iliniumiza sana kuona familia yetu ikisambaratika kwa sababu ya mali.

ENDELEA  KUSOMA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad