Jina langu ni Asha, na leo nimeamua kutoa ushuhuda wangu kwa ajili ya wanawake wenzangu wanaopata mateso kama niliyoyapata. Kwa kipindi cha miaka miwili, ndoa yangu ilikuwa kwenye mitihani mikubwa baada ya mimi kuanza kuhisi “miiba” kila mume wangu alipotaka unyumba. Ukweli ni kwamba sikuwa na miiba ya kweli, bali nilikuwa mkavu kiasi cha kutisha na sikuwa na hamu kabisa ya tendo la ndoa.
Maumivu niliyokuwa nayapata yalikuwa yananifanya nipige kelele za uchungu, jambo lililomfanya mume wangu aamini kuwa mimi nimerogwa na adui zangu.








No comments:
Post a Comment