Kwa muda mrefu maisha yangu yalikuwa yanaenda vizuri. Biashara yangu ilikuwa inakua, familia ilikuwa na amani, na kila kitu kilionekana kiko sawa. Lakini ghafla mambo yakaanza kubadilika bila maelezo.
Biashara ilianza kudorora bila sababu ya wazi. Wateja wakaanza kupungua, bidhaa zikaanza kukwama, na faida ikapotea taratibu. Nyumbani nako hali ikawa tofauti migogoro midogo midogo ikaanza kujitokeza kila mara.









No comments:
Post a Comment