𝐖𝐀𝐙𝐈𝐑𝐈 𝐌𝐊𝐔𝐔 𝐀𝐒𝐇𝐈𝐑𝐈𝐊𝐈 𝐈𝐁𝐀𝐃𝐀 𝐊𝐀𝐍𝐈𝐒𝐀 𝐋𝐀 𝐊𝐊𝐊𝐓 𝐌𝐔𝐅𝐈𝐍𝐃𝐈 - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Sunday, May 3, 2026

𝐖𝐀𝐙𝐈𝐑𝐈 𝐌𝐊𝐔𝐔 𝐀𝐒𝐇𝐈𝐑𝐈𝐊𝐈 𝐈𝐁𝐀𝐃𝐀 𝐊𝐀𝐍𝐈𝐒𝐀 𝐋𝐀 𝐊𝐊𝐊𝐓 𝐌𝐔𝐅𝐈𝐍𝐃𝐈

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, akitoa salamu kwa waumini mara baada ya kushiriki ibada katika Kanisa Kuu la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mufindi, lililopo Mafinga Mjini, mkoani Iringa leo tarehe 3 Mei, 2026.
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, akisalimiana na Watoto nje ya kanisa Kuu la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mufindi baada ya kushiriki Ibada katika kanisa hilo lililopo Mafinga Mjini, mkoani Iringa leo tarehe 3 Mei, 2026. 

PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad