𝐍𝐈𝐋𝐈𝐕𝐘𝐎𝐏𝐀𝐓𝐀 𝐔𝐒𝐈𝐍𝐆𝐈𝐙𝐈 𝐓𝐄𝐍𝐀 𝐁𝐀𝐀𝐃𝐀 𝐘𝐀 𝐌𝐈𝐄𝐙𝐈 𝐘𝐀 𝐊𝐔𝐀𝐌𝐊𝐀 𝐊𝐈𝐋𝐀 𝐒𝐀𝐀 𝐍𝐀 𝐌𝐀𝐖𝐀𝐙𝐎 𝐘𝐀𝐒𝐈𝐘𝐎𝐊𝐖𝐈𝐒𝐇𝐀 - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Wednesday, May 13, 2026

𝐍𝐈𝐋𝐈𝐕𝐘𝐎𝐏𝐀𝐓𝐀 𝐔𝐒𝐈𝐍𝐆𝐈𝐙𝐈 𝐓𝐄𝐍𝐀 𝐁𝐀𝐀𝐃𝐀 𝐘𝐀 𝐌𝐈𝐄𝐙𝐈 𝐘𝐀 𝐊𝐔𝐀𝐌𝐊𝐀 𝐊𝐈𝐋𝐀 𝐒𝐀𝐀 𝐍𝐀 𝐌𝐀𝐖𝐀𝐙𝐎 𝐘𝐀𝐒𝐈𝐘𝐎𝐊𝐖𝐈𝐒𝐇𝐀

Kwa miezi mingi nilikuwa naishi maisha ambayo sikuwa nimeyatarajia. Kila usiku nilikuwa naingia kitandani nikiwa nimechoka sana, lakini usingizi haukuwa unakuja kama zamani. Na hata nilipofanikiwa kulala, nilikuwa naamka mara kwa mara usiku bila sababu ya kueleweka.

Mwanzoni nilidhani ni jambo la kawaida tu.

Nilijiambia labda ni uchovu wa kazi, mawazo ya maisha, au msongo wa kawaida unaopita. Lakini kadri siku zilivyopita, hali ilianza kuwa mbaya zaidi. Ilifika hatua nilikuwa naamka kila saa usiku. Mara nafikiria madeni, mara familia, mara mambo ya kazi. Kichwa changu kilikuwa hakitulii kabisa. Asubuhi nilikuwa naamka nimechoka kana kwamba sikulala hata dakika moja.

ENDELEA   KUSOMA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad