𝐍𝐈𝐋𝐈𝐕𝐘𝐎𝐏𝐀𝐓𝐀 𝐁𝐀𝐇𝐀𝐓𝐈 𝐘𝐀 𝐒𝐀𝐅𝐀𝐑𝐈 𝐘𝐀 𝐍𝐉𝐄 𝐘𝐀 𝐍𝐂𝐇𝐈 𝐁𝐀𝐀𝐃𝐀 𝐘𝐀 𝐊𝐔𝐊𝐎𝐒𝐀 𝐍𝐀𝐅𝐀𝐒𝐈 𝐌𝐀𝐑𝐀 𝐍𝐍𝐄 𝐍𝐀 𝐊𝐀𝐑𝐈𝐁𝐔 𝐊𝐔𝐊𝐀𝐓𝐀 𝐓𝐀𝐌𝐀𝐀 - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Thursday, May 14, 2026

𝐍𝐈𝐋𝐈𝐕𝐘𝐎𝐏𝐀𝐓𝐀 𝐁𝐀𝐇𝐀𝐓𝐈 𝐘𝐀 𝐒𝐀𝐅𝐀𝐑𝐈 𝐘𝐀 𝐍𝐉𝐄 𝐘𝐀 𝐍𝐂𝐇𝐈 𝐁𝐀𝐀𝐃𝐀 𝐘𝐀 𝐊𝐔𝐊𝐎𝐒𝐀 𝐍𝐀𝐅𝐀𝐒𝐈 𝐌𝐀𝐑𝐀 𝐍𝐍𝐄 𝐍𝐀 𝐊𝐀𝐑𝐈𝐁𝐔 𝐊𝐔𝐊𝐀𝐓𝐀 𝐓𝐀𝐌𝐀𝐀

Kwa miaka mingi nilikuwa na ndoto ya kwenda kufanya kazi nje ya nchi ili nibadilishe maisha yangu na kusaidia familia yangu. Kila nilipoona watu wakifanikiwa baada ya kupata nafasi za nje, nilijiambia siku moja na mimi ningefika huko. 

Lakini safari yangu haikuwa rahisi hata kidogo.

Mara ya kwanza nilipoomba nafasi ya kwenda nje ya nchi, nilikuwa na matumaini makubwa sana. 

Nilituma documents zote, nikafanya interview, na nikasubiri majibu kwa hamu kubwa. Lakini mwisho wake nilikataliwa.

Nilijipa moyo nikasema labda haikuwa nafasi yangu bado.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad