Kesi yangu ya ardhi ilininyima amani kwa miaka mingi. Ilianza baada ya kipande cha ardhi ambacho baba yangu aliacha kuanza kudaiwa na ndugu wa mbali waliokuwa wakisema ni chao. Mwanzoni nilidhani ni jambo ambalo lingeisha kwa mazungumzo, lakini ghafla nikajikuta nimefikishwa mahakamani.
Nilikuwa na uhakika ukweli ulikuwa upande wangu, lakini kadri kesi ilivyoendelea, mambo yalianza kwenda tofauti. Nyaraka zilianza kuonekana kunipinga, mashahidi walionekana kubadilika, na hata watu waliokuwa wakiniunga mkono mwanzoni walianza kuniambia nikubali kushindwa tu.









No comments:
Post a Comment