𝐌𝐀𝐓𝐔𝐊𝐈𝐎 𝐊𝐀𝐓𝐈𝐊𝐀 𝐏𝐈𝐂𝐇𝐀 𝐊𝐔𝐖𝐀𝐒𝐈𝐋𝐈 𝐊𝐖𝐀 𝐑𝐀𝐈𝐒 𝐑𝐔𝐓𝐎 𝐓𝐀𝐍𝐙𝐀𝐍𝐈𝐀 - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Tuesday, May 5, 2026

𝐌𝐀𝐓𝐔𝐊𝐈𝐎 𝐊𝐀𝐓𝐈𝐊𝐀 𝐏𝐈𝐂𝐇𝐀 𝐊𝐔𝐖𝐀𝐒𝐈𝐋𝐈 𝐊𝐖𝐀 𝐑𝐀𝐈𝐒 𝐑𝐔𝐓𝐎 𝐓𝐀𝐍𝐙𝐀𝐍𝐈𝐀

Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Dkt. William Ruto CGH, amewasili nchini Tanzania kwa Ziara ya Kitaifa ya Siku Mbili, Mei 4 na 5, 2026.


Mheshimiwa Ruto atapokelewa kwa gwaride la heshima na mwenyeji wake, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Dar es Salaam ambapo pia watafanya mazungumzo ya uwili ili kuimarisha uhusiano wa Tanzania na Kenya.

Mapema kesho, Mei 5, 2026, Mheshimiwa Ruto atalihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma kabla ya kuhitimisha ziara yake.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad