𝐖𝐀𝐅𝐀𝐍𝐘𝐀𝐊𝐀𝐙𝐈 𝐓𝐁𝐒 𝐖𝐀𝐏𝐈𝐌𝐖𝐀 𝐌𝐎𝐘𝐎, 𝐖𝐄𝐍𝐆𝐈𝐍𝐄 𝐖𝐀𝐏𝐄𝐖𝐀 𝐑𝐔𝐅𝐀𝐀 𝐉𝐊𝐂𝐈 - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Friday, May 1, 2026

𝐖𝐀𝐅𝐀𝐍𝐘𝐀𝐊𝐀𝐙𝐈 𝐓𝐁𝐒 𝐖𝐀𝐏𝐈𝐌𝐖𝐀 𝐌𝐎𝐘𝐎, 𝐖𝐄𝐍𝐆𝐈𝐍𝐄 𝐖𝐀𝐏𝐄𝐖𝐀 𝐑𝐔𝐅𝐀𝐀 𝐉𝐊𝐂𝐈

Daktari Bingwa wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) DMonica Kaganda akimsomea ya vipimo vya moyo Mwandishi Mwendesha Ofisi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Latifa Shamte wakati wa kambi maalumu ya upimaji wa magonjwa ya moyo iliyolenga kuongeza uelewa kuhusu magonjwa hayo na njia za kujikinga ili kuboresha afya na ufanisi kazini kwa wafanyazi wa shirika hilo. Jumla ya Wafanyakazi 68 walipata huduma ambapo nane kati yao walipewa rufaa ya kwenda kutibiwa katika Tawi la JKCI Oysterbay.
Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Agnes Kajangwa akimpima kiwango cha sukari kwenye damu Mkurugenzi wa Uandaaji Viwango wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) David Ndibalema Lugome wakati wa kambi maalumu ya upimaji wa magonjwa ya moyo iliyolenga kuongeza uelewa kuhusu magonjwa hayo na njia za kujikinga ili kuboresha afya na ufanisi kazini kwa wafanyazi wa shirika hilo. Jumla ya Wafanyakazi 68 walipata huduma ambapo nane kati yao walipewa rufaa ya kwenda kutibiwa katika Tawi la JKCI Oysterbay.
Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Agnes Kajangwa akimpima shinikizo la damu Afisa Viwango Mwandamizi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Idara ya Uandaaji Viwango Daniel Lugome wakati wa kambi maalumu ya upimaji wa magonjwa ya moyo iliyolenga kuongeza uelewa kuhusu magonjwa hayo na njia za kujikinga ili kuboresha afya na ufanisi kazini kwa wafanyazi wa shirika hilo. Jumla ya Wafanyakazi 68 walipata huduma ambapo nane kati yao walipewa rufaa ya kwenda kutibiwa katika Tawi la JKCI Oysterbay.
Daktari Bingwa wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Theophilly Mushi akimfanyia kipimo cha kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi Mfanyakazi wa  Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wakati wa kambi maalumu ya upimaji wa magonjwa ya moyo iliyolenga kuongeza uelewa kuhusu magonjwa hayo na njia za kujikinga ili kuboresha afya na ufanisi kazini kwa wafanyazi wa shirika hilo. Jumla ya Wafanyakazi 68 walipata huduma ambapo nane kati yao walipewa rufaa ya kwenda kutibiwa katika Tawi la JKCI Oysterbay.
--------------------------------------------------

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad