Biashara yangu ilikuwa ndiyo chanzo pekee cha riziki kwa familia yangu. Nilikuwa nimewekeza kila kitu nilichokuwa nacho kwenye duka langu dogo muda, nguvu, na pesa nilizokuwa nimehangaikia kwa miaka mingi. Ingawa haikuwa biashara kubwa sana, ilinisaidia kulipa kodi, kusomesha watoto, na kuendesha maisha ya kila siku.
Lakini ghafla mambo yalianza kubadilika.
Usiku mmoja nilipigiwa simu nikaarifiwa kuwa duka langu lilikuwa limevunjwa. Nilipofika asubuhi, nilikuta mlango umeharibika na bidhaa kadhaa muhimu zimeibwa. Nilihisi moyo wangu ukivunjika.
Hasara...ENDELEA KUSOMA









No comments:
Post a Comment