Kwa muda mrefu nilikuwa naishi maisha ya wasiwasi ambayo sikuwahi kufikiria ningepitia. Kila nilipopanga jambo muhimu, lilikuwa linaonekana kuharibika dakika za mwisho kwa namna ambayo sikuielewa.
Mwanzoni nilidhani ni bahati mbaya tu. Lakini kadri muda ulivyopita, nilianza kuona mambo mengi ya ajabu yakijirudia.
Nilikuwa na migogoro ya mara kwa mara na jirani yangu mmoja ambaye tulianza kutokuelewana baada ya mzozo mdogo wa mipaka ya eneo la nyumba. Tangu hapo, hali kati yetu haikuwahi kurudi kawaida. Kulikuwa na maneno ya kuumiza, kutupiana lawama, na wakati mwingine mazingira ya tension kila tulipopishana.









No comments:
Post a Comment