𝐍𝐈𝐋𝐈𝐕𝐘𝐎𝐏𝐀𝐓𝐀 𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐍𝐘𝐔𝐌𝐁𝐀𝐍𝐈 𝐁𝐀𝐀𝐃𝐀 𝐘𝐀 𝐊𝐔𝐒𝐈𝐊𝐈𝐀 𝐇𝐀𝐓𝐔𝐀 𝐙𝐀 𝐀𝐉𝐀𝐁𝐔 𝐊𝐈𝐋𝐀 𝐔𝐒𝐈𝐊𝐔 𝐍𝐀 𝐖𝐀𝐓𝐎𝐓𝐎 𝐊𝐔𝐎𝐆𝐎𝐏𝐀 𝐊𝐔𝐋𝐀𝐋𝐀 𝐏𝐄𝐊𝐄 𝐘𝐀𝐎 - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Monday, May 11, 2026

𝐍𝐈𝐋𝐈𝐕𝐘𝐎𝐏𝐀𝐓𝐀 𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐍𝐘𝐔𝐌𝐁𝐀𝐍𝐈 𝐁𝐀𝐀𝐃𝐀 𝐘𝐀 𝐊𝐔𝐒𝐈𝐊𝐈𝐀 𝐇𝐀𝐓𝐔𝐀 𝐙𝐀 𝐀𝐉𝐀𝐁𝐔 𝐊𝐈𝐋𝐀 𝐔𝐒𝐈𝐊𝐔 𝐍𝐀 𝐖𝐀𝐓𝐎𝐓𝐎 𝐊𝐔𝐎𝐆𝐎𝐏𝐀 𝐊𝐔𝐋𝐀𝐋𝐀 𝐏𝐄𝐊𝐄 𝐘𝐀𝐎

Nyumba yetu ilikuwa sehemu ya furaha kwa muda mrefu. Watoto walicheza kwa amani, tulikuwa tunacheka pamoja jioni, na kila mmoja alikuwa anafurahia kuwa nyumbani.

 Lakini ghafla hali ilianza kubadilika kwa namna ambayo sikuwahi kuelewa. Ilianza taratibu.

Usiku mmoja nilisikia sauti za hatua kana kwamba mtu anatembea sebuleni usiku wa manane. 

Mwanzoni nilidhani labda ni upepo au jirani akifanya shughuli zake nje. Lakini sauti zile zilianza kujirudia karibu kila usiku. Nilianza kuamka katikati ya.....ENDELEA KUSOMA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad