Sikuwahi kufikiria kwamba pesa nilizokuwa nimemkopesha rafiki yangu wa karibu zingekuja kuwa chanzo cha msongo mkubwa kiasi kile maishani mwangu.
Mwanzoni nilimsaidia kwa moyo mmoja tu.
Alikuja kwangu akiwa na shida kubwa, akaniambia alikuwa anapitia kipindi kigumu sana na angenirudishia fedha zangu ndani ya wiki chache.
Kwa sababu tulikuwa tumeaminiana kwa miaka mingi, sikusita kumsaidia. Wiki zikapita. Mwezi mmoja ukageuka miezi miwili. Kila nilipoulizia pesa zangu, alikuwa na sababu mpya.
Mara biashara haijaenda vizuri, mara kuna mgonjwa nyumbani, mara aliahidi atalipa “wiki ijayo.” Mwanzoni nilikuwa mvumilivu, lakini kadri muda ulivyopita...ENDELEA KUSOMA









No comments:
Post a Comment