𝐍𝐈𝐋𝐈𝐕𝐘𝐎𝐅𝐀𝐍𝐈𝐊𝐈𝐖𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐀𝐓𝐀 𝐌𝐊𝐎𝐏𝐎 𝐍𝐈𝐋𝐈𝐎𝐇𝐈𝐓𝐀𝐉𝐈 𝐁𝐀𝐀𝐃𝐀 𝐘𝐀 𝐊𝐔𝐍𝐘𝐈𝐌𝐖𝐀 𝐌𝐀𝐑𝐀 𝐍𝐍𝐄 𝐍𝐀 𝐊𝐔𝐊𝐀𝐑𝐈𝐁𝐈𝐀 𝐊𝐔𝐅𝐔𝐍𝐆𝐀 𝐊𝐈𝐋𝐀 𝐌𝐏𝐀𝐍𝐆𝐎 - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Wednesday, May 13, 2026

𝐍𝐈𝐋𝐈𝐕𝐘𝐎𝐅𝐀𝐍𝐈𝐊𝐈𝐖𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐀𝐓𝐀 𝐌𝐊𝐎𝐏𝐎 𝐍𝐈𝐋𝐈𝐎𝐇𝐈𝐓𝐀𝐉𝐈 𝐁𝐀𝐀𝐃𝐀 𝐘𝐀 𝐊𝐔𝐍𝐘𝐈𝐌𝐖𝐀 𝐌𝐀𝐑𝐀 𝐍𝐍𝐄 𝐍𝐀 𝐊𝐔𝐊𝐀𝐑𝐈𝐁𝐈𝐀 𝐊𝐔𝐅𝐔𝐍𝐆𝐀 𝐊𝐈𝐋𝐀 𝐌𝐏𝐀𝐍𝐆𝐎

Kwa muda mrefu nilikuwa na ndoto ya kupanua maisha yangu na kutoka kwenye hali ngumu ya kifedha. Nilikuwa na mpango mzuri wa biashara ambao niliamini ungeweza kubadilisha maisha yangu pamoja na familia yangu. Tatizo kubwa lilikuwa moja tu mtaji. Nilikuwa nimejaribu kuweka akiba kwa muda mrefu, lakini fedha nilizokuwa nazo hazikutosha kuanzisha kile nilichotaka.

Ndipo nikaanza kufikiria kuchukua mkopo.

Mwanzoni nilikuwa na matumaini makubwa.

Niliandaa documents zote nilizohitaji, nikajaza forms, na kwenda kwa taasisi ya kwanza nikiwa na confidence kuwa mambo yangeenda sawa. Lakini baada ya siku kadhaa za kusubiri, nilikataliwa. Nilijipa moyo nikasema labda haikuwa sehemu sahihi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad