𝐀𝐋𝐈𝐊𝐎𝐒𝐀 𝐇𝐀𝐓𝐀 𝐌𝐓𝐄𝐉𝐀 𝐖𝐀 𝐒𝐈𝐃𝐈𝐑𝐈𝐀 𝐇𝐔𝐊𝐔 𝐊𝐎𝐃𝐈 𝐈𝐊𝐈𝐌𝐊𝐀𝐓𝐀 𝐊𝐎𝐎, 𝐒𝐀𝐒𝐀 𝐇𝐈𝐕𝐈 𝐀𝐍𝐀𝐌𝐈𝐋𝐈𝐊𝐈 𝐌𝐀𝐊𝐎𝐍𝐓𝐄𝐍𝐀 𝐘𝐀 𝐍𝐆𝐔𝐎 - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Thursday, May 7, 2026

𝐀𝐋𝐈𝐊𝐎𝐒𝐀 𝐇𝐀𝐓𝐀 𝐌𝐓𝐄𝐉𝐀 𝐖𝐀 𝐒𝐈𝐃𝐈𝐑𝐈𝐀 𝐇𝐔𝐊𝐔 𝐊𝐎𝐃𝐈 𝐈𝐊𝐈𝐌𝐊𝐀𝐓𝐀 𝐊𝐎𝐎, 𝐒𝐀𝐒𝐀 𝐇𝐈𝐕𝐈 𝐀𝐍𝐀𝐌𝐈𝐋𝐈𝐊𝐈 𝐌𝐀𝐊𝐎𝐍𝐓𝐄𝐍𝐀 𝐘𝐀 𝐍𝐆𝐔𝐎

Naitwa Benson, mkazi wa jiji la Mbeya, mji wa baridi na fursa. Kwa miaka sita, nilijichimbia katika biashara ya nguo za mitumba (kamisheni) pale soko la Mwanjelwa. Nilikuwa na duka lililosheheni ‘grade one’ ya nguo kutoka Ulaya, lakini maisha yangu yalikuwa ni kitendawili.

Kila asubuhi nilikuwa nafika dukani na kuanza kupangusa vumbi, lakini jua lilikuwa linazama bila mteja hata mmoja kuingiza kichwa kuuliza bei.


Hali hii ilikuwa inakatisha tamaa sana, hasa ukizingatia kuwa duka la jirani yangu lilikuwa linajaa watu hadi wengine wanagombea nguo, wakati duka langu lilikuwa kama limepakwa dawa ya kufukuza watu. Nilihisi nina mkosi usiofutika.


 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad