Kwa muda mrefu nilikuwa naandika maombi ya kazi bila mafanikio. Kila sehemu nilipofika, niliahidiwa “tutawasiliana nawe,” lakini simu haikuwahi kurudi. Nilianza kuhisi kama juhudi zangu zote hazina maana. Nilijaribu kubadilisha CV, nilijifunza ujuzi mpya, na hata kujaribu kazi za muda, lakini bado nilikuwa naishia sehemu ile ile kutokuchaguliwa.
Hali hiyo ilinifanya nipoteze imani na uwezo wangu mwenyewe. Baada ya muda, nilipopata nafasi ndogo ya kazi katika kampuni moja, sikuthaminiwa sana mwanzoni. Nilikuwa nikipewa kazi ndogo ndogo na kupuuzwa kwenye maamuzi muhimu. Ilikuwa inaniumiza, lakini sikuwa na pa kuanzia.









No comments:
Post a Comment