Siku nilipotangaza kuwa ningegombea nafasi ya uongozi, watu wengi hawakunichukulia kwa uzito. Wengine walicheka waziwazi, wakisema sina jina kubwa wala pesa za kushindana na waliokuwa tayari wamezoeleka kwa watu.
Mwanzoni nilikuwa na matumaini. Nilizunguka nikiongea na watu, nikieleza mipango yangu na kile nilitaka kubadilisha.
Lakini kadri kampeni zilivyoendelea, nilianza kuona hali si nzuri upande wangu. Watu waliokuwa wakiniahidi kunipigia kura walibadilika ghafla.
Wengine walikuwa hata wanaepuka kuonekana karibu nami. Ilifika hatua nikaanza kuhisi kama nilikuwa napoteza muda wangu bure.









No comments:
Post a Comment