MAKAMU WA RAIS AKIWASILI ZANZIBAR JAN 11 - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Wednesday, 10 January 2024

MAKAMU WA RAIS AKIWASILI ZANZIBAR JAN 11

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume – Zanzibar. Leo tarehe 11 Januari 2024 Makamu wa Rais anatarajia kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Skuli ya Elimu Mjumuisho ya Jendele iliyopo Wilaya ya Kati, Unguja ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. Tarehe 11 Januari 2024.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad