Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na
Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Korea Mhe. Yoon Suk Yeol mara baada
ya kuwasili katika Ikulu ya Nchi hiyo iliyopo Seoul kwa ajili ya mazungumzo na
kushuhudia hafla ya utiaji saini Mikataba mbalimbali tarehe 02 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana
na Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Jamhuri ya Korea mara baada ya kuwasili
katika Ikulu ya Nchi hiyo iliyopo Seoul tarehe 02 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye
picha ya pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Korea Mhe.
Yoon Suk Yeol kabla ya kuanza mazungumzo yao katika Ikulu ya Nchi hiyo iliyopo
Seoul tarehe 02 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye
mazungumzo na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Korea Mhe.
Yoon Suk Yeol katika Ikulu ya Nchi hiyo iliyopo Seoul tarehe 02 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye
picha ya pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Korea Mhe.
Yoon Suk Yeol kabla ya kushuhudia hafla ya utiaji saini Mikataba mbalimbali
baina ya nchi mbili kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Seoul tarehe 02
Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya
Jamhuri ya Korea iliyopo Jijini Seoul tarehe 02 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye
mazungumzo Rasmi na Rais wa Jamhuri ya Korea Mhe. Yoon Suk Yeol katika Ikulu
ya Nchi hiyo iliyopo Seoul tarehe 02 Juni, 2024.
Shamrashamra za Mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Ikulu ya Nchi ya Jamhuri ya Korea
Jijini Seoul tarehe 02 Juni, 2024.





















No comments:
Post a Comment