Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akipokea Taarifa ya Kituo cha kupokea na kupoza umeme wa Gridi ya Taifa
kilichopo Inyonga Mkoani Katavi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO
Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga Julai 13, 2024. Mhe. Rais Dkt. Samia anaendelea na
Ziara yake ya Kikazi Mkoani humo ambapo atakagua na kufungua miradi mbalimbali
ya Maendeleo pamoja na kuzungumza na Wananchi.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akipokea Taarifa ya Kituo hicho.
Taswira
ya Miundombinu pamoja na Kituo cha kupoza, kupokea na kusambaza umeme wa Gridi
ya Taifa kilichopo Inyonga Mkoani Katavi









No comments:
Post a Comment