WAHARIRI WAIPONGEZA SERIKALI, MSD KWA UWEKEZAJI KIWANDA CHA MIPIRA YA MIKONO IDOFI - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Saturday, July 6, 2024

WAHARIRI WAIPONGEZA SERIKALI, MSD KWA UWEKEZAJI KIWANDA CHA MIPIRA YA MIKONO IDOFI

WAHARIRI kutoka vyombo mbalimbali vya habari waliokuwa katika ziara ya kutembelea Kiwanda cha uzalishaji wa mipira ya mikono (GLOVES cha MSD kilichopo Idofi Makambako Mkoani Njombe, Julai 4, 2024 wakizungumza jijini Dodoma na Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Mavere Tukai walitoa pongenzi zao kwa Serikali na MSD kwakufanya mapinduzi ya uwekezaji wa kiwanda hicho kikubwa ambacho kinakwenda kuondoa changamoto ambayo ingezweza kutokea kwa kukosekana kwa mipira hiyo katika Hospitali, Vituo vya Afya na Zaanati hapa nchini.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad