Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 20, 2024 amewasili nchini Marekani
na kupokelewa na Balozi wa Tanzania Mjini New York, nchini Marekani na
Mwakilishi wa Kudumu katika Umoja wa Mataifa, Balozi Hussein Othman Katanga.Mheshimiwa Majaliwa yupo nchini humo kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu
Hassan kwenye Mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA79).








No comments:
Post a Comment