TANZIA : MAMA SEKELA MWENDO UMEUMALIZA SHEMEJI YETU KAPUMZIKE KWA AMANI - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Wednesday, 26 March 2025

TANZIA : MAMA SEKELA MWENDO UMEUMALIZA SHEMEJI YETU KAPUMZIKE KWA AMANI

 

Magreth Mwaibale, enzi za uhai wake.
.....................................................

Ndugu Lusajo Aswile  Mwaibale anasikitika kutangaza kifo cha mke wake, Magreth  Mwaibale (Grace Mwakila),  kilichotokea Mchi 25, 2025 Saa 12: 00 jioni Hospitali ya Benjamini Mkapa Jijini Dodoma alikokuwa amelazwa kwa matibabu.

Taratibu za mazishi yake zinafanyika nyumbani kwake Wajenzi Dodoma ambapo mwili wake utasafirishwa Machi 27, 2025 kuelekea Kijiji cha Ngopyolo Kilichopo Lutengano Wilayani Rungwe mkoani Mbeya kwa mazishi  yatakayo fanyika Machi 28, 2025 siku ya Ijumaa.

Bwana Alitoa na Bwana Ametwaa jina lake lihimidiwe.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad