Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko, Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka kwenye picha ya pamoja na Mawaziri mara baada ya Kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri cha Serikali ya Awamu ya Sita kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 14 Julai, 2025.
Monday, 14 July 2025
Home
Habari
RAIS SAMIA AKIWA NA VIONGOZI MBALIMBALI WAKUU WA NCHI BAADA YA KIKAO CHA MWISHO CHA BARAZA MAWAZIRI KILICHOFANYIKA IKULU CHAMWINO 2025
RAIS SAMIA AKIWA NA VIONGOZI MBALIMBALI WAKUU WA NCHI BAADA YA KIKAO CHA MWISHO CHA BARAZA MAWAZIRI KILICHOFANYIKA IKULU CHAMWINO 2025
Tags
# Habari
Kuhusu - Singidaniblog
Habari
Tags:
Habari
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ni chombo cha habari kinachotoa habari na matukio mbalimbali nchini Tanzania na kokote duniani ,kwa kujali weledi na taaluma ya habari.
KWA MATANGAZO NA HUDUMA YA HABARI, WASILIANA NASI,
0754 362 990.
0688 914 344
Email: singidani77@gmail.com,








No comments:
Post a Comment