ALISHINDA AKIFUKUZA NZI HUKU WATEJA WAKIPITA KAMA HAWAONI, ILA SASA ANA SUPERMARKE - SINGIDANI BLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Thursday, 26 February 2026

ALISHINDA AKIFUKUZA NZI HUKU WATEJA WAKIPITA KAMA HAWAONI, ILA SASA ANA SUPERMARKE

Naitwa Elias, mkazi wa jiji la Mwanza, maarufu kama mji wa miamba. Kwa miaka saba, nilikuwa nikijishughulisha na biashara ya kuuza nguo za mitumba na mpya katika soko kuu. Kila asubuhi nilikuwa nawahi kufungua duka langu nikiwa na matumaini makubwa, lakini hali ilikuwa ya kusikitisha.

Nguo zangu zilikuwa ni nzuri na za kisasa, lakini cha ajabu wateja walikuwa wakipita mbele ya duka langu na kuingia kwa jirani yangu ambaye alikuwa na nguo za kawaida sana.

Nilikuwa nakata tamaa kila kukicha. Ilichukua muda mrefu sana hata kupata mteja mmoja wa kununua shati la shilingi elfu tano. Nilijaribu kila mbinu; nilipunguza bei, nilifanya matangazo madogo madogo, na hata kubadilisha mpangilio wa duka langu mara kwa mara, lakini hali ilibaki kuwa ileile.

ENDELEA KUSOMA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad