Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akitoa mkono wa pole kwa Bi. Elizabeth Molel, ambaye ni mjane wa marehemu Edwin Emanuel Nalaila, aliyekuwa Mtumishi wa Wizara ya Fedha, aliyefariki February 5, 2026 jijini Dodoma, alipofika kwa ajili ya kuhani msiba nyumbani kwa marehemu, Makulu Oysterbay, jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akizungumza na Bi. Elizabeth Molel, ambaye ni mjane wa marehemu Edwin Emanuel Nalaila, aliyekuwa Mtumishi wa Wizara ya Fedha, aliyefariki February 5, 2026 jijini Dodoma, alipofika kwa ajili ya kuhani msiba nyumbani kwa marehemu, Makulu Oysterbay, jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akitoa pole kwa baadhi ya waombolezaji waliofika nyumbani kwa marehemu Edwin Emanuel Nalaila, aliyekuwa Mtumishi wa Wizara ya Fedha, aliyefariki February 5, 2026 jijini Dodoma, alipofika kwa ajili ya kuhani msiba nyumbani kwa marehemu, Makulu Oysterbay, jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb), akitoa mkono wa pole kwa Bi. Elizabeth Molel, ambaye ni mjane wa marehemu Edwin Emanuel Nalaila aliyekuwa mtumishi wa Wizara ya Fedha aliyefariki February 5, 2026 jijini Dodoma, alipofika kwa ajili ya kuhaninmsiba nyumbani kwa marehemu, Makulu Oysterbay, jijini Dodoma.













No comments:
Post a Comment