RAIS MUSEVENI AFANYA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MOJA, NCHINI - SINGIDANI BLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Saturday, 7 February 2026

RAIS MUSEVENI AFANYA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MOJA, NCHINI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2026. 

Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya mazungumzo yake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 07 Februari, 2026. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya mazungumzo yake na Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2026. 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad