Mkoani Ruvuma, katika mji wa Songea, anaishi mwanamke mpambanaji aitwaye Fatuma. Kwa miaka mingi, Fatuma alikuwa akifanya kazi ya udalali wa mazao ya wakulima wadogo. Licha ya bidii yake, madalali wakubwa walimdhulumu, na kumtia kwenye faida ndogo isiyotosha kulisha familia yake.
Ndoto yake ilikuwa kumiliki lori lake la tani saba kwa ajili ya kusafirisha mazao kuelekea bandarini Dar es Salaam. Ili kufanikisha hilo, alianza kubashiri soka (betting), akivutiwa na Ligi ya Ubelgiji (Jupiler Pro League), ikiwamo timu kama Club Brugge na Anderlecht.
Hata hivyo, kwa miaka minne, hakuwahi kushinda kiasi chochote cha maana. “Nilihisi nimezungukwa na giza nene,” Fatuma anasimulia.








No comments:
Post a Comment