Naitwa Sophia, mwanamke ambaye tangu nikiwa shuleni nilijulikana
kwa urembo wangu wa kipekee na akili nyingi. Baada ya kuhitimu masomo yangu na
kuanza biashara zangu hapa jijini Mwanza, nilitegemea kuwa mambo ya mahusiano
yangekuwa rahisi kwangu.
Lakini kinyume na matarajio, maisha yangu ya kimapenzi yalikuwa ni kitendawili kisichotegulika.
Kila mwanaume niliyekuwa naye, alikuwa akinitumia tu na kisha anasepa zake,
huku wengine wakinizushia maneno ya kashfa mtaani.
Kwa zaidi ya miaka minane, nimekuwa nikiishi maisha ya kutafuta mume bila mafanikio. Nilifikia hatua ya kuingia kwenye kila kundi la kusaka wachumba, nimeenda kwenye kila mkutano wa injili kuombea ndoa, lakini wapi! Nilianza kuhisi nina mikosi ya kuzaliwa au labda kuna mtu alichukua nyota yangu na kuizika kwenye makaburi ya kale.








No comments:
Post a Comment