Wakaazi wa kijiji cha Chuka walishuhudia kioja cha karne baada ya kijana mmoja aliyekuwa ameiba ng’ombe wa mjane kuanza kutoa sauti za ajabu na kumea pembe kichwani. Mwizi huyo, ambaye alikuwa ameshaanza kuuza nyama ya ng’ombe huyo sokoni, alijikuta akishindwa kuongea lugha ya binadamu na badala yake kuanza kuugua “Moooo!” huku akila nyasi pembeni ya barabara.
Watu walikusanyika wakipiga mayowe, “Ona! Huyu ndiye aliyemdhulumu mama mjane!” Mwizi huyo alikuwa akizunguka zunguka kama mnyama huku akijigonga kwenye miti. Ilibainika kuwa yule mama mjane, baada ya kuibiwa ng’ombe wake wa pekee,








No comments:
Post a Comment