Je, kuna hasara inayoumiza kama kupoteza simu yenye kila kitu cha maisha yako ndani? Picha, mawasiliano ya kazi, akaunti za benki, hata kumbukumbu za familia. Hivyo ndivyo ilivyokuwa kwa Allan, kijana wa IT kutoka Roysambu, ambaye aliibiwa simu yake akitoka kazini usiku lakini kilichofuata kilimwacha mdomo wazi.
Ilikuwa majira ya saa tatu usiku. Allan alishuka kwa matatu na kuanza kutembea kuelekea nyumbani. Ghafla vijana wawili walimzingira. Hawakumpiga sana, lakini walimnyang’anya simu yake ya gharama na kukimbia gizani.








No comments:
Post a Comment