Jina langu ni Amina, natokea mkoani Tanga, maeneo ya mtaa wa Ngamiani. Kwa kipindi cha miezi mitatu, nilikuwa nafanya kitu cha ajabu sana ili kukwepa unyumba na mume wangu. Kila usiku mume wangu alipotaka kunigusa, nilikuwa najifunga kitambaa kichwani na kusema, “Mume wangu, leo kichwa kinapasuka, siwezi hata kugeuka.” Sababu ya kweli ni kwamba nilikuwa sina hamu kabisa ya tendo la ndoa na ukavu uliokuwa unanisababishia maumivu makali ulikuwa unanifanya nione kama kitanda ni sehemu ya adhabu badala ya burudani.
Mume wangu alianza kushuku na kuniambia, “Amina, kichwa gani hicho kinachouma kila usiku mimi nikikutaka? Kwani hapa ndani kuna kirusi cha kichwa?”. Alianza kusema kuwa labda nina mwanaume mwingine huko mjini anayenimalizia hamu zangu. Ugomvi ukawa ni sehemu ya maisha yetu na amani ikatoweka kabisa.








No comments:
Post a Comment