Maisha ya mtaani yanaweza kukuchosha na kukunyima amani, hasa unapokuwa na umri wa kuanza kujitegemea lakini kila unachogusa kinagoma kutoa matokeo. Naitwa George, na kwa miaka sita baada ya kumaliza masomo yangu, nilikuwa mmoja wa vijana waliokuwa wakihangaika kupata hata mlo mmoja kwa siku.
Niliingia kwenye ulimwengu wa kubashiri (betting) nikiamini ndiyo njia pekee ya kuninasua kwenye umaskini uliokuwa unaniandama, lakini badala ya neema, nilijikuta nikipoteza hata kile kidogo nilichokipata kwa vibarua vya hapa na pale.








No comments:
Post a Comment