Mbunge wa Singida Mjini Yagi Kiaraatu akiwasili Bungeni Aprili 8, 2026
..................................
Mbunge wa Jimbo la Singida Mjini, Yagi Kiaratu akiwasili Bungeni kushiriki Kikao cha Nne cha Mkutano wa Tatu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Aprili 8, 2026, Jijini Dodoma.
Mkutano huu wa Tatu wa Bunge la 13 ni mahsusi kwa ajili ya kujadili utekelezaji wa Bajeti za Wizara zote kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 pamoja na Makadirio ya Matumizi ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027.








No comments:
Post a Comment