Siku hiyo ilikuwa jioni ya kawaida kabisa. Nilikuwa nimekaa sebuleni nikitazama TV, nikijaribu kupumzika baada ya siku ndefu ya kazi. Ghafla, simu yangu ikaanza kuita.
Nilipoangalia screen, nilibaki confused kabisa.
Namba iliyokuwa inanipigia ilikuwa ni namba yangu mwenyewe.
Mwanzoni nilidhani ni glitch tu ya simu. Lakini simu iliendelea kuita. Nilichukua kwa hofu kidogo. Upande wa pili kulikuwa na ukimya mzito, kisha nikasikia sauti ambayo ilifanana kabisa na yangu.








No comments:
Post a Comment